• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

RC SINGIDA ATOA ONYO KWA WATAKAOPOTOSHA JAMII KUHUSU CHANJO YA WATOTO

Posted on: October 18th, 2019

SERIKALI  mkoani Singida, imesema haitomvumilia mtu au watu watakaosambaza taarifa potovu zenyelengo la kukwamisha zoezi la chanjo lililoanza mkoani hapa  nalinatarajia kumalizika Oktoba 21 mwaka huu.

Mkuuwa mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi, ametoa onyo hilo wakati akizindua kampeni ya chanjo shirikishi ya Surua – Rubella iliyofanyika Oktoba 17, 2019 kimkoa Itigi wilayani Manyoni.

Alisema chanjo ya Surua – Rubella ni chanjo inayolenga kuwakinga watoto dhidi ya upofu, kutokusikia (kiziwi). Mtindio wa ubongo na ulemavu mwingine.

Amesisitiza  kuwa chanjo hiyo ni muhimu sana kwani magonjwa hayo hayana tiba.

“Naagiza watendaji wa vitongoji na kata, wasimamie chanjo hii ambayo inalenga watoto wenye umri kuanzia miezi tisa hadi ambao hawajafikisha miaka mitano. Watu watakaopotosha kwa lengo la kukwamisha chanjo hii wakamatwe na wachukuliwehatua stahiki”, 

“Ninyi wazazi siyo wageni wa huduma hizi za chanjo. Mmekuwa mkishuhudia watoto wenu wakipata sindano mbili hadi tatu kwa wakati mmoja. Huduma za chanjo ni zakawaida. Jukumu lenu ni kuhakikisha mnawafikisha watoto kwenye vituo vyakutolea chanjo”. amesema

Aidha, Mkuu huyo wa mkoa, amewataka wazazi kuhakikisha watoto wao wa kike wenye umriwa kuanzia mika 14, wanapata chanjo mbili zitakazowakinga dhidi ya saratani ya mlango wa kizazi.

Alisemakwa mujibu wa wataalamu, maambukizi ya saratani ya mlango wa kizazi, yameenea sana nchini, hivyo ni lazima tuhakikishe tunakuza jamii iliyokingwa kuanziasasa.

Awali, Mganga mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Victoria Ludovick, alisema jumla yawasichana 12,99 wenye umri kuanzia miaka 14 walipata chanjo ya kwanza dhidi yasaratani ya mlango wa kizazi kati ya Januari hadi Agosti mwaka huu.

Alisema  kati ya wasichana hao 6,724, wamefika kukamilisha  dozi ya pili ambayo nisawa na asilimia 51.7. Wasichana 6,275 hawakukamilisha dozi hiyo.

“Ikumbukwe kuwa, kinga kamili hupatikana baada ya kukamilisha dozi zote mbili. wananchi watambue kuwa Serikali inawekeza gharama kubwa, ili kuwakinga wasichana hawadhidi ya saratani ya mlango wa kizazi. Hivyo kuna umuhimu mkubwa wazazi kuhakikisha watoto wao, wanapata chanjo zote mbili”,amesisitiza.

Kwa mujibu wa Dkt. Ludovick jumla ya watoto 225,586 wanatarajiwa kupata chanjo yasurua Rubella. Watoto wengine 119,198 wanatarajia kupata chanjo dhidi yaugonjwa wa Polio kwa  njia ya sindano.

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.