• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

SUALA LA KUTENGENEZA FAMILIA BORA NI SUALA LA KILA FAMILIA.

Posted on: May 15th, 2024

Katibu Tawala mkoa wa Singida Dkt. Fatuma Mganga, amewasihi wazazi mkoani humo kutimiza wajibu wao kila mmoja katika familia ili kuwa na jamii bora kwa maendeleo bora ya taifa letu.

Kauli hiyo ameitoa leo Mei 15, 2024 wakati wa Kongamano la siku ya Familia Duniani lililofanyika kimkoa katika kata ya Ibaga wilayani Mkalama na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, vyama vya siasa, dini pamoja na wananchi.

“Kila mmoja atimize wajibu wake, tusaidiane, tushirikiane tuweze kulea familia vizuri, lakini pia tusilee watoto wetu kama mayai, tufuatilie mienendo ya watoto wetu, suala la kutengeneza familia bora si suala la Serikali, ni suala la kila familia. Wazazi tutimize wajibu wetu tusiwachekee watoto wetu” Dkt. Fatuma Mganga

Katibu Tawala huyo wa Mkoa amesema, Baba ni kichwa cha familia hivyo wanalojukumu kubwa la kusimamia familia kikamilifu kwa kuchukua nafasi zao katika familia ili kuiwezesha familia kuwa na bora na ya kuigwa ndani ya jamii.

Awali akiwasilisha hoja kuhusu chanzo cha familia nyingi kuvunjika, Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe. Moses Machali, amesema kukosekana kwa uwazi baina ya wana ndoa kunapelekea ndoa nyingi kuwa na migogoro.

Ushirikishwaji katika familia ni muhimu kwakuwa panapokosekana ushirikishwaji kunaleta migogoro ambayo inapelekea familia kutengana hivyo amewasi wanafamilia kuwa na tabia na maadili mema sambamba kwa kufanya kazi kwa bidii ili kujiongezea kipato na kumudu mahitaji ya familia.

“Kama ni kulima, Baba lima sana kama ni Mama fanya kazi za kuongeza kipato cha famili, kazi ya kutunza familia ni jukumu letu sote. DC Machali

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.