• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

Tumejipanga kuimarisha usalama wa chakula ndani ya mkoa – Dkt Binilith Mahenge.

Posted on: November 16th, 2021


Mkoa wa Singida unatarajia kuvuna  jumla ya tani 1,166,464.7 za mazao mbalimbali ya chakula yanayotarajiwa kulimwa kwenye hekta 585,744.9 katika msimu wa kilimo wa 2021/22 ndani ya  maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Singida.

Kauli hii imetolewa leo 16.05.2021 na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge katika kikao kazi cha uzinduzi wa ugawaji wa mbegu kupitia mradi unaofadhiliwa na mfuko wa kimataifa  wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) kwenye Sekta ya Kilimo uliofanyika katika ukumbi wa Socia Holl uliopo mjini Singida,  ambapo amebainisha kwamba wakulima wamejiandaa ipasavyo katika msimu huu wa kilimo.

Akiwa katika uzinduzi huo Dkt. Mahenge amebainisha kwamba Mkoa unatarajia kupanda zao la mahindi katika eneo lenye ukubwa wa hekta 269, 175.6  ambapo matarajio ni kuvuna  tani 501,526.3 wakati mpunga ukilimwa katika eneo la hekta 23,584.4 na kuvunwa tani 70,187.

Aidha  mazao mengine ni mtama uwele ulezi ngano mihogo viazi  vitamu na viazi mviringo ambavyo kwa jumla ya mazao yote  kutatumika  eneo lenye ekari 585,744.9 ambalo liltatoa mavuno kiasi cha tani 1,166,464.7 alifafa nua RC Mahenge.

Dkt. Mahenge amefafanua kwamba katika msumu huu wa kilimoa mkoa unatarajia kulima mazao mbalimbali ya biashara  yakiwemo pamba , korosho, vitunguu, alizeti, Karanga, Choroko na Dengu  ambapo eneo litakalolimwa mazao haya ni hekta 352,510.7.

Hata hivyo RC Mahenge akaendelea kufafanua kwamba katika msimu huu wa kilimo ,kwa upande wa  mazao ya biashara Mkoa unatarajia   kutoa mavuno  yapatayo tani 955,200.5 ambapo  wakulima na wananchi wa Singida watapata faida na kuongeza vipato na kuboresha maisha yao.

Awali akitoa takwimu za chakula  Mkuu wa Mkoa  amesema kwamba msimu wa mwaka jana eneo la Kilimo lilikuwa hekta 525 za mazao ya chakula zilizozalisha  tani 821,881.7 ambayo ni ongezeko lililotokana na kuongezeka kwa tija katika kilimo iliyosababishwa na wakulima kutumia kanuni bora za kilimo.

Matumizi ya pembejeo na  kanuni bora za kilimo zimechangia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwa uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara na kusaidia kuimarisha usalama wa chakula kwa wananchi wa mkoa wa singida alimalizia Dkt. Binilith Mahenge

Kikao hicho kiliwahusisha  wizara ya Kilimo,wakuu wa Wilaya zinazolima alizeti, Makatibu Tawala  wa mikoa ya Dodoma Singida,simiyu na Manyara  pamoja na shirika la kimataiffa la kilimo (IFAD)

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.