• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

Uwanja wa Kisasa wa Mpira kujengwa Singida

Posted on: June 1st, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge leo ametembelea eneo linalojengwa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu lililopo Mtipa katika Wilaya ya Singida ili kuona eneo hilo na kusikiliza mipango ya Ujenzi  kutoka kwa Mkandandarasi.

Akiongea akiwa katika eneo hilo RC Mahenge amesema uwanja huo  ukikamilika utakuwa na manufaa makubwa kwa wananchi wa Singida kwa kuwa watatumia michezo kama sehemu ya ajira na kipato.

RC amebainisha kwamba kutokana na ukweli kwamba  Singida ni katikati ya nchi uwanja huo utaweza kutumiwa na mikoa ya jirani lakini hata wananchi kutoka mikoa hiyo wanaweza kuja kuangalia mpira.

Aidha RC ameagiza Mkandarasi huyo kukutana na Shirika la ugavi wa Umeme Tanesco na Idara ya maji ili waweze kubaliana kila mmoja atakapoweka miundombinu yake ambayo itarahisisha Ujenzi huo kwenda kwa kasi kubwa.

Hata hivyo amebainisha kwamba uwanja huo utakapokamilika utasaidi kuongeza uwekezaji eneo hilo na  kuongeza kipato kwa wanachi kupitia Biashara za hoteli na huduma mbalimbali.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskasi Muragili akamtaka Mkandarasi  kuandaa wasilisho kwa viongozi  ili kuona mchoro ili waweze kuwashawishi wafanyabiashara Kuwekeza maeneo hayo kwa ajili ya kurahisisha huduma nyingine.

DC Muragili akaendelea kumhamasisha Mkandarasi kujitahidi ili  uwanja huo uweze kutumika kabla ya kuisha mwaka huu kwa kuwa kutasaida kufungua fursa nyingine za ndani.

Naye Mkandandarasi wa uwanja huo kutoka Kampuni ya Senga senga civil & building company amesema eneo hilo lina ukubwa wa ekari zaidi ya 10 ambapo kwa sasa  eneo lishafanyiwa usafi na wanajipanga kusawazisha kabla ya kujenga hosteli katika kwa ajili ya wageni.

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.