• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

Wahandisi wa miradi ya maendeleo ikiwemo majengo ya madarasa na vituo vya Afya Mkoani Singida wametakiwa kuwa wabunifu

Posted on: August 14th, 2022

Wahandisi wa miradi ya maendeleo ikiwemo majengo ya madarasa na vituo vya Afya  Mkoani Singida wametakiwa kuwa wabunifu na kutumia utaalamu wao katika kuwashauri viongozi kufanya miradi hiyo kwa awamu ili kukamilika kwa wakati na kuweza kuleta tija kwa muda mfupi.

Hayo yamesemwa leo na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Sahili Geraruma wakati wa kuweka jiwe la Msingi katika mradi wa shule ya Sekondari Kitalaka iliyopo Halmashauri ya Itigi wilayani Manyoni.

Gararuma amesema Wahandisi wanayo nafasi ya kushauri katika ujenzi kulingana na kiasi cha fedha zilizopo ili kujenga majengo machache yanayokamilika kwa muda mfupi na yakatumiwa na wanafunzi kuliko kujenga majengo mengi yasiyoisha kwa wakati uliyopangwa.

Amesema  miradi mingi haikamiliki kwa wakati kwa sababu Wahandisi wanashindwa kushauri kulingana na taaluma zao jambo ambalo linachangia miradi hiyo kutokamilika kwa wakati na kujikuta inahitaji muda wa ziada.

"Ukifanya hesabu vizuri utajua kwamba fedha ulizonazo zinaweza kujenga jengo la namna gani au majengo mangapi, unaona una fedha za June majengo matano na unaanza mpango unataka majengo kumi kwa nini usishauri yaanze kujengwa kulingana na fedha iliyopo", aliuliza Geraruma

Amewataka wasimamizi wa majengo hayo kuwa na Mpango kazi ambao utaonesha ni kila kazi na muda wake na itasaidia kujipima wenyewe kama kazi waliojipangia inakamilika kwa wakati.

Aidha akiwa katika kituo cha Afya Mitundu Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru ameagiza viongozi wasimamie misingi na maadili ya kazi zao huku akiwasihi mafundi kukagua vifaa vya ujenzi kabla ya kuvipeleka stoo.

Kiongozi huyu amebainisha kwamba vipo vifaa kadhaa vimepokelewa katika kazi mbalimbali za Ujenzi na kuhifadhiwa stoo wakati ndani yake sivyo vilivyokubaliwa.

Mwisho

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.