• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

WAHITIMU KUJENGEWA MISINGI YA KUONGEZA UJUZI VYUO VYA VETA SINGIDA

Posted on: February 27th, 2025

Katika kuadhimisha miaka 30 ya Mamlaka ya Chuo cha Ufundi Stadi(VETA) Mkoa wa  Singida umeazimia kuanzisha program maalumu kwa ajili ya wanafunzi wanaomaliza shule za Msingi na Sekondari kusoma VETA kwa wale watakaohitaji ili waongeze ujuzi.

Hayo ameyasema  Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima  Dendego wakati akifunga maadhimisho ya miaka 30 ya kuanzishwa kwa VETA .

                               Mhe.Dendego amesema kuwa wataandaa program maalumu kwa ajili ya wanaomaliza darasa la saba, Kidato cha Nne na kidato cha Sita wanapomaliza wakati wanasubiria majibu wapate ujuzi kwa miezi sita katika chuo cha VETA.

Katika hatua nyingine amewasisitiza wananchi kuiunga  mkono VETA kwa kazi nzuri wanayoifanya,Pia amewashauri kutumia fursa hiyo kwa kuwatambua na kuagiza watu wenye ujuzi waendelee kuhudumia wanafunzi  kwa kuwapa ajira ndani ya Halmashauri kwa lengo la kuendelea kukuza vyuo hivyo na taaluma za wanafunzi wote wanaonufaika na elimu hiyo.

                    Pia ametumia  fursa hiyo kwa kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya katika miradi ya Maendeleo hasa katika kuongeza idadi ya vyuo vya VETA huku kukiwa  na vyuo vitano vya VETA  kwa mkoa wa Singida.


Sambamba na hilo,amepongeza chuo cha VETA wakiongozwa na Wakurugenzi kwani vijana wanasoma na kupata ujuzi akisema kuwa VETA ni muhimu sana kwani inawezesha idadi kubwa ya wanufaika kuwa na ujuzi ambao unawawezesha  kujiajiri.

                          Awali, Alitembelea ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Manispaa ya Singida, unaosimamiwa na mafundi waliopitia VETA, na kuwapongeza kwa kazi nzuri waliyoifanya kwa ujuzi mkubwa huku akiwasisitizia kuendelea kujifunza zaidi kuongeza ujuzi wao .

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.