• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

Wakazi wa Kijiji cha Ughandi B Singida Vijijini wamekabidhiwa rasmi Mradi wa maji wenye ujazo wa Lita Elfu 90

Posted on: August 11th, 2022

Wakazi wa Kijiji cha Ughandi B Wilayani Singida Mkoani hapo wamekabidhiwa rasmi Mradi wa maji wenye ujazo wa Lita Elfu 90 na wametakiwa kutunza Mazingira na vyanzo vya maji ili uweze kudumu kwa muda mrefu.

Hayo yamesemwa leo  na Msaidizi wa  Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2022 Emmanuel Ndege Chacha wakati wa uzinduzi wa Mradi wa maji unaomilikiwa na Wakala wa maji  na usafi wa  Mazingira vijijini (RUWASA) ambapo aliwataka wananchi kutunza mradi  huo pamoja na kuyalinda Mazingira kuzungukia vyanzo vya maji ili yaendelee kupatika kwa muda mrefu.

Kabla ya kuzindua Mradi huo kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru alibainisha baadhi ya kasoro katika chanzo cha maji na taratibu za malipo hapo aliwataka kufanya marekebisho hayo madogo huku wananchi wakiendelea kupata manufaa ya mradi huo.

Chacha amezitaka kamati za maji za eneo hilo kuhakikisha wanatunza na kukarabati miundombinu ya maji badala ya kusubiri RUWASA.

Hata hivyo Kiongozi huyo amewataka Wahandisi kufuata maelekezo yaliyotolewa na Wizara ya maji katika kutekeleza miradi hiyo.

Hata hivyo amewataka RUWASA kuwa na kawaida ya kutoa taarifa kwa wananchi pindi wanapofanya usafi au matengenezo ya miundombinu ya maji hayo ili kuondoa usumbufu kwa wananchi.

Awali Meneja wa RUWASA Mhandisi Athumani Mkalimoto amesema Mradi huo umekamilika na umeanza kuhudumia wananchi wa eneo hilo.

Hata hivyo Mhandisi amebainisha kwamba Mradi umeokoa kiasi cha Milioni 155.1 baada ya kutumia gharama kiasi cha Tsh.Milion 410.4 ambapo ulitengewa bajeti ya Tsh.Milioni 565.5 mpaka kukamilika alieleza.

Aidha Mhandisi Athumani ameeleza kwamba wananchi wapatao 5500 wa Kijiji cha Ughandi B wamekuwa wakifaidika na uwepo wa Mradi huo.

Mwenge wa Uhuru huo umekamilisha mbio zake katika Wilaya ya Singida baada ya kukagua na kuzindua miradi mitano na programu tano ambazo Mwenge wa Uhuru zote zilipitishwa.

Mwisho

Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.