• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

WATAALAMU WATEMBELEA MABWAWA KUFANYA TATHMINI YA KIMAZINGIRA*

Posted on: January 22nd, 2025

Wataalamu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), na Bodi ya Maji Bonde la Kati wamefanya ziara maalum jana tarehe 21/01/2025 na leo tarehe 22/01/2025 katika mabwawa ya Mwaighimbi, Kisisi, na Masogweda yaliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Singida kwa ajili ya tathmini ya hali ya mabwawa hayo.

 Lengo la ziara hiyo ni kutathmini hali ya mabwawa hayo, mazingira ya vijiji vinavyoyazunguka, pamoja na shughuli za kibinadamu zinazoendelea katika maeneo hayo.

Wataalamu hao walikusanya taarifa mbalimbali kuhusu mabwawa hayo, ikiwemo historia ya mabwawa, ukubwa wa mabwawa na athari za shughuli za kibinadamu kama ufugaji na kilimo kwa mabwawa hayo.

Mmoja wa wataalamu waliohusika alieleza kuwa tathmini hiyo ni muhimu kwa kutambua hali halisi ya mabwawa hayo na kuangalia iwapo kuna uwezekano wa athari za kimazingira au maafa kutokana na shughuli zinazofanyika. Alisisitiza kuwa mabwawa haya ni rasilimali muhimu kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii, hivyo ni lazima yashughulikiwe kwa uangalifu mkubwa.



@USIKOSE KUFUATILIA MITANDAO YETU YA KIJAMII

INSTAGRAM:SINGIDA RS

FACEBOOK:SINGIDA RS

YOUTUBE:RAS SINGIDA 


Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.