• Contact Us |
    • Complaints |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Blog |
Singida Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Singida Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Regional Leaders
  • Administration
    • Regional Secretariet Structure
    • Sections
      • Administration and Human Resources
      • Planning and Coordination
      • Economy and Production
      • Infrustructure
      • Local Government
      • Health
      • Education
      • Water
    • Units
      • Finance and Accounts
      • Internal Audit
      • Information and Communication Technology
      • Legal Services
      • Procurement and Supply
  • Districts
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • LGA
    • Ikungi DC
    • Iramba DC
    • Itigi DC
    • Manyoni DC
    • Mkalama DC
    • Singida DC
    • Singida MC
  • Investiment Opportunity
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industries and Trade
    • Mining
  • Our Services
    • Health
      • Medical Specialists
      • Clinical Services
      • Preventive Care
      • Social Welfare
      • Environmental Health
      • Nutrition
    • Education
    • Water
    • Agriculture
  • Publications
    • Bylaw
    • Customer Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • Investment Guide
  • Media Center
    • Gallery
    • Videos
    • Speeches
    • Press Release

WILAYA YA IKUNGI MKOANI SINGIDA YAIBUKA KINARA WA MWENGE KIKANDA.

Posted on: October 15th, 2024



Wilaya ya Ikungi mkoani  Singida imeibuka mshindi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 kwa Kanda ya Tatu, na kukabidhiwa kikombe na fedha sh. milioni moja,  wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo Mhe.Halima Dendego.

Ikungi imeshinda kwenye Kanda ya Tatu yenye mikoa ya Ruvuma, Singida, Dodoma, Manyara, Kagera na Mara, ikiwa ni ishara kuwa walikidhi vigezo kuanzia mapokezi ya Mwenge wa Uhuru, hamasa, na ubora wa miradi ikiwemo miradi kuakisi thamani ya fedha, na kuwepo kwa vielelezo vyote vya manunuzi na vifaa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Justice Kijazi, alisema ushindi huo ni wa wananchi wa Wilaya ya Ikungi na Mkoa wote wa Singida, na imewapata moyo kuweza kuendelea kufanya  vizuri katika utekelezaji wa miradi.


Kijazi amesema wao kama viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia shughuli za maendeleo ikiwemo miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa fedha za Serikali Kuu, fedha za mapato ya ndani ya halmashauri, wananchi na wafadhili, watahakikisha inakamilika na kuwanufaisha wananchi.

 Mwenge wa Uhuru 2024 katika Wilaya ya Ikungi umezindua, kuweka mawe ya msingi na kutembelea miradi saba yenye thamani ya sh. 3,046,807,381. Na miradi hiyo ipo kwenye sekta ya elimu, maji, afya, mazingira, barabara, ujenzi na maendeleo ya jamii.

 "Chanzo cha fedha za miradi hiyo, Serikali Kuu sh.2,889,821,381, wananchi sh. milioni 120, wahisani sh  24,486,000, na Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi sh. milioni 12.5" amesema Kijazi.

Naye Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Godfrey Mnzava amesema moja ya changamoto kwenye halmashauri hapa nchini ni kushindwa kutekeleza miradi ya maendeleo ya wananchi kwa kutumia fedha za mapato ya ndani. Lakini pia, miradi inayotekelezwa na Wakala wa Umeme Vijijini (REA) kushindwa kukidhi haja ya wananchi, hivyo kwenye Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025, maeneo hayo mawili yapewe kipaumbele kwenye kuangaliwa.


Announcements

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • View All

Latest News

  • UKAGUZI MIRADI SINGIDA DC,MHE DENDEGO ATOA MAAGIZO

    May 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAJA NA MIPANGO KABAMBE YA UTEKELEZAJI SINGIDA

    May 12, 2025
  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • View All

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
More Videos

Quick Links

  • Press Release
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • SINGIDA RS PROCUREMENT NOTICE
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Related Links

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    SINGIDA

    Postal Address: P O BOX 5 SINGIDA

    Telephone: 2502170, 2502089

    Mobile: 2502170, 2502089

    Email: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.