• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Kilimo

Shughuli kuu ya kiuchumi ya wananchi wa Mkoa wa Singida ni kilimo. Karibu 80% ya wakazi wa Mkoa wa Singida hujishughulisha na kazi za kilimo kwa kuzalisha mazao ya chakula ambayo ni mtama, uwele, jamii ya mikunde na mpunga.

Mazao ya biashara yanayolimwa ni alizeti, pamba, ufuta na vitunguu na viazi vitamu ambapo zao kuu la biashara ni alizeti.  Shughuli nyingine ya kiuchumi inayotegemewa na wakazi wengi ni ufugaji wa mifugo ambayo ni ng’ombe, mbuzi, kondoo, kuku wa asili na nyuki.

 Uzalishaji wa mazao ya chakula kwa kipindi cha miaka 3 kuanzia 2014/2015 hadi 2016/2017 ni; mwaka 2014/2015 tani 298,209.055, mwaka 2015/2016 ni tani 762,201.90 na kufikia Juni mwaka 2016/2017 ni tani 457,104.7 Uzalishaji umekuwa ukibadilika kwa kushuka na kupanda kutokana na mvua zinazonyesha kuwa kidogo na mtawanyiko wake kuwa sio wa kuridhisha.

Uzalishaji wa mazao ya biashara mpaka kufikia Juni mwaka 2016/2017 ni tani 1,288,532. Kulingana na makadirio ya idadi ya watu ya mwaka 2017, Mkoa wa Singida unakadiriwa kuwa na idadi ya watu 1,551,766.

Mahitaji ya chakula kwa mwaka kwa wakazi wa Mkoa wa Singida (watu 1,551,766) ni tani 424,795.9. Takwimu hizi za uzalishaji ni hadi kufikia Juni 2017, maeneo mengine bado uvunaji unaendelea.

Matangazo

  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2020 - MKOA WA SINGIDA December 06, 2019
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2019/2020 SINGIDA RS - GPN 2019 - 2020 August 23, 2019
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2018/2019 September 15, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC SINGIDA AFUNGA MGODI ‘SEKENKE NAMBA MOJA’ KUPISHA UCHUNGUZI

    December 14, 2019
  • DKT. NCHIMBI AMEYATAKA MAKAMPUNI YALIYOCHUKUA FEDHA KUTOKA KWA WAKULIMA KWA LENGO LA KUWAUZIA ZANA ZA KILIMO NA HAWAKUWAPA KURUDISHA FEDHA HIZO MARA MOJA.

    December 11, 2019
  • RC SINGIDA AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA MSAMAHA WA WAFUNGWA 139 MKOANI SINGIDA

    December 11, 2019
  • JAFFO AAGIZA HALMASHAURI NCHINI KUIGA UFANISI WA MIRADI IKUNGI

    December 10, 2019
  • Angalia Zote

Video

Baraza la hoja Mkalama 2017
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Singida. Haki Zote Zimehifadhiwa.