• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

SINGIDA YATAMBA KWA MAFANIKIO LUKUKI CHINI YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

Posted on: July 4th, 2025

Mkoa wa Singida umeendelea kujipambanua kupitia ufugaji wa nyuki  shughuli ambayo imekuwa ni kimbilio la  watu wengi wanaokwenda  kwa lengo la kujifunza kuhusiana na uzalishaji wa asali,nta na mazao mengine mengi yatokanayo na nyuki.

 Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego amesema moja ya faida kubwa inayopatikana kupitia nyuki  ni upatikanaji wa vumbi la Singida ambalo limekuwa mkombozi kwa wanawake na wanaume kiafya kutokana na kuwa na sifa ya virutubisho vingi kwa wakati mmoja ambavyo huwezi kuvipata kwenye vyakula vingine.

"Unapotumia vumbi la Singida unaenda kupata virutubisho 99 kwa wakati mmoja wengi wanahusisha sana vumbi la singida na kaka zetu lakini hilo ni letu sote wanawake na wanaume."Amesema Mhe. Dendego

Kauli hiyo ameitoa julai 4,2025 Jijini Dodoma alipokuwa akizungumza na wanahabari kuhusiana na mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita Mkoani Singida kwa kipindi cha miaka minne na akieleza kuwa  mafanikio waliyopata kupitia  ufugaji wa nyuki ni matunda yanayotokanayo na mipango mizuri ya Serikali hasa katika kuendeleza na kuhifadhi misitu.

"Tunayo zaidi ya ekta elfu 4.2 imehifadhiwa, na ndio inatoa fursa ya wafugaji wa nyuki kuweza kufuga nyuki."Amesema Mhe. Dendego

Pamoja na hayo amesema Mkoa umejizatiti  kuunga mkono jitihada za Serikali katika kuhakikisha wananchi wanatumia nishati safi ya kupikia hasa  kwa kuzingatia kwamba Mkoa huo sio rafiki sana kwenye matumizi ya kuni na mkaa kutokana na mazingira yake.

"Mhe. Rais wetu ni kinara Afrika na sisi tupo naye bega kwa bega,tunahamasisha kupitia mikutano,matamasha,makongamano mbalimbali na wananchi  wamehamasika sana." Amesema Mhe. Dendego

Kadhalika,Ameongeza kuwa  mpaka sasa Serikali imeshapeleka majiko ya gesi ya kuanzia (30,111) ambayo yanasambazwa vijijini kote.

Akitaja mafanikio mengine amesema katika sekta ya afya Mkoa huo umepiga hatua kubwa katika utoaji wa huduma za afya na sasa wanatoka katika kutoa huduma za afya za kawaida na  kuelekea katika utoaji wa huduma za  utalii wa tiba.

" tumeweza kujenga zahanati mpya 62,vituo vya afya 22 na hospitali 9." Amesema Mhe. Dendego 

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • SINGIDA YATAMBA KWA MAFANIKIO LUKUKI CHINI YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

    July 04, 2025
  • MAAFISA MAENDELEO KIKAANGONI,WAASWA KUJIPIMA KWA MATOKEO NA SIO IDADI YA VIKAO.

    June 30, 2025
  • HAPO AWALI NA SASA KATIKA MIUNDOMBINU YA ELIMU SINGIDA

    June 27, 2025
  • MIRADI MBALI MBALI YA UJENZI INAYOENDELEA MKOANI SINGIDA

    June 27, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.