Posted on: November 8th, 2021
Bodi za shule za msingi na sekondari pamoja na Madiwani katika kata mbalimbali mkoani Singida wametakiwa kuwashirikisha wananchi katika Ujenzi wa vyumba vya madarasa, Hospitali na visima vya maji ili ...
Posted on: November 1st, 2021
Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya Mkoani Singida wametakiwa kukamilisha jumla ya vyumba vya madarasa 662 na mabweni mawili (2) kabla ya kufikia katikati ya mwenzi Decemba 2021 am...
Posted on: October 30th, 2021
Mkuu wa Mkoa Singida Dkt.Binilith Mahenge leo October 30 2021 amezindua kampeni ya usafi Mkoani hapa kwa kufanya usafi Katika maeneo mbalimbali ya manispaa ya Singida ambapo amesema usafi huo utafanyi...