• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Madereva kujengewa Ofisi.

Posted on: January 28th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba jana 27.01.2023  ameweka rasmi jiwe la msingi katika ujenzi wa Ofisi ya madereva Mkoani hapo  linalotarajiwa kugharimu zaidi ya Tsh. Milioni 79.6.

Akiongea na Watumishi baada ya kuweka jiwe hilo RC Serukamba amempongeza Katibu Tawala wa Mkoa huo Dorothy Mwaluko kwa kuleta wazo la kuwajengea Ofisi madereva ili waweze kujikinga na mvua jua na baridi jambo ambalo ameeleza kwamba litaleta ufanisi katika kazi yao.

RC amesema maamuzi hayo ni ya kijasiri kwakuwa Ofisi nyingi za Serikali hazina Ofisi maalum  za madereva hivyo akawataka madereva hao kutunza Ofisi hiyo na kuhakikisha kwamba wanafanya kazi kwa ufanisi mkubwa.

Katika hatua nyingine ameupongeza mpango wa kuwa na sare maalumu inayovaliwa siku ya Ijumaa huku akiueleza  kwamba inaonesha umoja katika kazi.

Amesema umoja huo utumike katika ufanyaji kazi kwa umahiri juhudi na maarifa na kila Mtumishi ahakikishe kwa nafasi yake anatatua changamoto za wananchi.

"Utanashati huu nilio uona usiwe wa siku ya Ijumaa pekee bali tujitahidi siku zote tupendeze, mtu mtanashati hata kazi zake anazifanya vizuri" Serukamba.

Kwa upande wake Katibu Tawala wa Mkoa huo Dorothy Mwaluko amemueleza RC Serukamba kwamba ujenzi wa ofisi hiyo ni sehemu ya majengo mbalimbali yanayoendelea kujengwa na ofisi hiyo yakihusisha nyumba za Maafisa Tarafa ambazo nazo atakaribishwa kuzizindua siku chache zijazo.

Aidha akiongea na Watumishi hao Mwaluko amewataka  kuongeza juhudi katika kufanya kazi na kuacha mazoea katika kazi  ili kuwasaidia wananchi wa Singida huku akikemea swala la utoro kazini.

Awali akitoa taarifa ya awali Mhandisi wa Mkoa Domicianus Kirina amesema ujenzi wa ofisi hiyo ulianza tarehe 19 Desemba, 2022 ambapo inategemewa  kukamilika tarehe 1 Machi, 2023.

Ameleeza kwamba katika kufanikisha zoezi hilo ziliundwa kamati nne ambazo ni kamati ya manunuzi, mapokezi, ulinzi na kamati ya ufuatiliaji.

Mhandisi Domicianus  amesema fedha ambazo zimekwisha tumika zilikuwa ni Tsh. Milioni 56.04 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa mbalimbali na malipo ya fundi.

Mwisho.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.