• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

MKUU WA MKOA WA SINGIDA AWAASA VIJANA WALIOJIUNGA NA JKT KUZINGATIA NIDHAMU NA UZALENDO

Posted on: September 21st, 2022

MKUU wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, amewaasa vijana waliochaguliwa kwenda kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) mkoani hapa kuzingatia nidhamu na uzalendo katika kipindi chote watakapokuwa kwenye mafunzo.

Ametoa rai hiyo wakati akizungumza na vijana takribani 306 wakati akiwaaga rasmi baada ya zoezi la usahili, upimaji na uandikishaji kumalizika ambapo amesisitiza kwamba vijana hao wataanza kuondoka Septemba 27, mwaka huu kwenda kwenye kambi mbalimbali walizopangiwa kwa ajili ya kuanza mafunzo.

Katika hotuba yake iliyosomwa kwa niaba yake na Katibu Tawala Mkoa wa Singida, Dorothy Mwaluko, alisema nidhamu na uzalendo wa kuipenda nchi vipewe kipaumbele wakati wa mafunzo hayo ambayo yatachukua miaka miwili.

"Utovu wa nidhamu umejaa kila kona sasa nendeni mkijua sisi ni Watanzania sasa vile vitabia vyenu vyote vya kijinga wekeni pembeni wewe ni kwenda kufuata amri tu," alisisitiza Mwaluko.

Alisema ikiwa vijana hao watatuliza vichwa vyao wajiwa kwenye mafunzo, sanjari na maelekezo watakayopewa huko jeshini ni dhahiri baada ya kupata mafunzo hayo na kurejea uraiani watakuwa tofauti na raia wengine.

Awali akitoa taarifa ya mwenendo wa zoezi la mchakato huo, Mshauri wa Jeshi la Akiba Mkoa wa Singida Kanali Rhinoceros Magemeson, amesema vijana hao wamepatikana baada ya kufanyiwa usaili na vipimo vya afya zoezi lililosimamiwa na viongozi kutoka makao makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa lililoongozwa na Meja Bituro Magere Maingu (Mkuu wa Msafara wa Upimaji Afya) ambalo lililoanza Septemba 14 hadi 21 mwezi huu.

Kambi ambazo watakwenda kujiunga ni 824KJ Kanembwa iliyopo Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, 825KJ Mtabila iliyopo Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, 821KJ Bulombola mkoani Kigoma, 826KJ iliyopo Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, 822KJ Rwamko iliyopo Wilaya ya Musoma mkoani Mara na 823KJ Msange iliyopo mkoani Tabora.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.