• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Serikali za Vijiji Zatakiwa Kutenga Mapori na Misitu Kwa Ajili ya Utalii

Posted on: November 11th, 2021

Serikali za Vijiji  Mkoani Singida zimetakiwa kutumia fursa za uwepo wa misitu  inayowazunguka kwa kuitenga kama hifadhi ili kusaidia utunzaji wa  mazingira na kuongeza kipatao kupitia utalii badala ya kutumika kwa ajili ya kuvuna mkaa ambao hauna faida.

Mkuu wa Mkoa Singida Dkt. Binilith Mahenge ametoa kauli hiyo hivi karibu alipotembelea hifadhi ya mbuga za wanyama ya Rungwa iliyopo Wilayani Manyoni Mkoani hapo na kubaini bado meneo hayo hayajawanufaisha wanachi kwa kiwango kikubwa.

Amesema uwepo wa mapori na misitu katika maeneo ya vijiji ni fursa kubwa kama yataendeshwa ki mkakati ili yasaidi kufunga wanyama pori, kutunza mazingira na kuingizia kijiji mapato.

Dkt. Mahenge amebainisha kwamaba  vijiji vingi vimekuwa vikitumia misitu kwa jili ya kuchoma mkaa na kusababisha uharibufu mkubwa wa mazingira ambapo kama misitu hiyo ingehifadhiwa wanyama wangekuwepo na utalii ungeshamiri jambo ambalo lingechangia kijiji kupata mapato makubwa.

Dkt. Mahenge akamtaka Mkurugenzi, Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na DC wa Wilaya hiyo kuhakikisha kwamba misitu inatunzwa kwa kushirikiana na Wakala wa hifadhi ya wanyamapori  na vijiji kwa lengo la kuwanufaisha wananchi.

“Ili kulinda mazingira vizuri na kuwaongezea wananchi mapato ni lazima kuanzisha mkakati wa kuhifadhi mazingira ki mkakati”

“Mkurugenzi,Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na Mkuu wa Wilaya Nendeni mkakutane na wanachi wakapendekeze maeneo  ambayo leo ni misitu ambayo wanavuna na wanachoma mkaa  lakini  hawapati faida .alisistiza RC Mahenge.

Endapo maeneo hayo yatalindwa hakutakuwepo na migogoro, ujagili wala uingizaji wa mifugo na vijiji vitapata mapato alisistiza Dkt. Mahenge.

Kwa upande wake Muhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Wanyapori Tanzania (TAWA) Peter Malcery Erro akieleza mikakati iliyopo juu ya uhifadhi amesema aina ya utalii unafanyika katika hifadhi hiyo ni uwindaji katika vitalu ambapo mwenye kitalu analazimika kulipa milioni 130 kwa mwaka pamoja na asilimia 40 kwa wanyama aliowawinda bila kujali alipata aua alikosa.

Tumejipanga kufanya uwekezaji mahiri ambao unagharimu dolla za kimarekani  10,000 kwa kutenga maeneo wa aina mbalimbali ili kuongeza kipatoa  ikilinganisha wana sasa

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.