• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

MATUKIO KATIKA PICHA NAMNA KITUO CHA KISASA CHA MABASI KILIVYOFUNGULIWA SINGIDA.

  • Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akifungua rasmi kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.

    Muonekano wa sehemu ya kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida kikiwa katika hali ya usafi uliosifiwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour wakati akifungua rasmi kituo hcho. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.

    Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akiwa na Mkimbiza Mwenge kitaifa Fredrick Ndahani wakiwa ndani ya basi lililowaingiza ndani ya kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida kama sehemu ya uzinduzi wa kituo hicho. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.

    Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akishuka kutoka ndani ya basi lililowaingiza ndani ya kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida kama sehemu ya uzinduzi wa kituo hicho. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.

    Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akiwa na viongozi wa Manispaa ya Singida wakisubiria kupanda basi ambalo lilifungua rasmi huduma ya usafiri wa mabasi katika kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.

    Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akiwa na viongozi wa Manispaa ya Singida wakikagua kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.

    Mabasi na wananchi wa Singida wakianza kutumia rasmi kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida kilichozinduliwa na mwenge wa uhuru 2017. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja. Kituo hicho kimesifiwa kutokana na kuwa katika hali ya usafi huku mikoa mingine ikitakiwa kuiga mfano huo.

    Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akiwa na viongozi wa Manispaa ya Singida wakikagua kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida. Ujenzi wa kituo hicho ulianza Januari 2016, umegharimu shilingi bilioni 3.7 na kituo hicho kinaweza kuhudumia mabasi makubwa zaidi ya 70 kwa wakati mmoja.

    Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamad Amour akikabidhi mizinga mitano ikiwa ni sehemu ya mizinga 40 kwa timu ya Mpira wa Miguu ya Stendi Misuna mara baada ya kuzindua kituo kikuu na cha kisasa cha mabasi Singida. Timu hiyo inayoundwa na wakata tiketi imekuwa ni chachu ya kuhakikisha kituo hicho kinakua na ulinzi na usalama wa hali wa juu pamoja na kupinga vitendo vya kuvunja sheria kama utumiaji wa madawa ya kulevya.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.