• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

KAMATI YA MAADILI MKOANI SINGIDA IPO TAYARI KUWAHUDUMIA WANANCHI.

Posted on: June 24th, 2025

Jaji Mfawidhi Mhe.Dkt Juliana Masabo leo Juni 24,2025 amewaapisha wajumbe wa Kamati ya Maadili ya Mkoa Wa Singida tukio lililoshirikisha Wenyeviti,makatibu ,wajumbe  na mahakimu wa ngazi mbali mbali.

Tukio hilo limefanyika katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Singida huku Kamati zilizoapishwa ikiwa ni Wajumbe wa kamati ya Mkoa wa Singida,Wajumbe wa kamati ya Wilaya ya Singida,Iramba,Mkalama,Halmashauri ya Singida na Ikungi.

 Mhe.Dkt Masebo ametoa maagizo  kwa kamati hizo kuhakikisha wanakutana mara kwa mara ili kujengeana uwezo wa namna ya kushuhulikia kero za wananchi wanaoleta changamoto zao,kadhalika kuhakikisha vikao vinafanyika mara kwa mara kwa kuwaweka pamoja wajumbe wa Kamati ili kupeana miiko ya kamati yao na kuhakikisha wanakutana kila mwaka mara nne endapo kutakua hakuna malalamiko yeyote yanayowasilishwa.

Kadhalika ametoa wasilisho kwa wajumbe juu ya majukumu ya Kamati ya maadili ikiwemo namna kamati hizo zinafanya kazi katika namna ya uwasilishwaji na namna ya kushuhulikia malalamiko kwenye kamati ya Mkoa,upelelezi na utoaji wa  maoni.

Mhe.Moses Machali akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Singida,ameahidi kuwa Kamati hizo zitakwenda kufanya kazi kwa ushirikiano mkubwa ili kuweza kushuhulikia vema malalamiko yote yanayowasilishwa na wananchi.

Kamati hizi zinaendeshwa kwa mujibu wa kanuni za mwaka 2023 zilizotengenezwa chini ya kifungu cha 66 cha Sheria ya Usimamizi wa Mahakama na zinahusika na uchunguzi wa tuhuma za ukiukwaji wa maadili dhidi ya Maafisa wa Mahakama.


Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA MAADILI MKOANI SINGIDA IPO TAYARI KUWAHUDUMIA WANANCHI.

    June 24, 2025
  • NDOTO YA SINGIDA KUWA KITUO CHA VIWANDA VYA KISASA TANZANIA KUTIMIA

    June 21, 2025
  • KONGAMANO LA WANAWAKE SINGIDA LAFANA,MAKINDA AWAPA SOMO ZITO

    June 20, 2025
  • "HAKUNA KUACHA KIPORO": RC DENDEGO AHITIMISHA MABARAZA YA MADIWANI SINGIDA AKISISITIZA UWAJIBIKAJI

    June 18, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.