• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

MKESHA WA MWENGE WAFANA, SINGIDA YANG'ARA MBIO ZA MWENGE KITAIFA.,

Posted on: October 15th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe.Halima Dendego amesema wananchi wataendelea kuuenzi, kuheshimu na kutekeleza kwa vitendo ujumbe unao ambatana na mbio za mwenge wa uhuru ili kuchochea maendeleo ya wanasingida

Mhe. Dendego amesema hayo jana usiku katika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakati wa hafla ya mkesha wa mwenge wa uhuru ukitokea Jijini Mwanza kuelekea Mlima Kilimanjaro

" Mkoa unatambua kazi kubwa inayofanywa na mbio za mwenge wa uhuru ikiwa ni pamoja na kudumisha amani na mshikamano sambamba na kuhamasisha maendeleo,toka ulipowashwa mwezi wa nne mwaka huu na kuzunguka mikoa yote ya Tanzania Bara na visiwani mwenge umeendelea kuwaimarisha watanzania "

 Akiahidi kuendelea kusimamia yale yote yaliyokuwa yanahimizwa na ujumbe wa mbio za mwenge amesema wanasingida wana bahati kwa kuwa mwenge umelala mkoani  humo wakati zoezi la wananchi kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa likiendelea.

Amempongeza Rais Dr Samia Suluhu Hasan kwa kuuteua Mkoa wa Singida kuwa sehemu ya kusindikiza Mwenge wa uhuru kuelekea mlima Kilimanjaro kwa kuwa hilo ni tukio linalobeba  ujumbe mzito na kuweka kumbukumbu kubwa kwa watanzania.

Pia amewapongeza wanasingida kwa namna walivyojitoa  hadi kupelekea Mkoa wa Singida kwa ujumla na halmashauri ya Ikungi kufanya vizuri katika mbio za mwenge kikanda kwa kushika nafasi ya kwanza na kuuheshimisha mkoa wa Singida kitaifa.

Ikiwa  ni mara ya nne kwa Mwenge wa Uhuru kuplekwa mlima Kilimanjaro toka mwaka 1961,Mwaka huu Rais Samia Suluhu Hasan aliagiza mwenge wa uhuru upelekwe mlima Kilimajanro kutokana na sababu mbalimbali ambazo ni pamoja,Mwenge wa uhuru kutimiza miaka 60 toka kuanza kwa mbio zake ,kusherekea miaka 60 ya  Mapinduzi matukufu ya Zanzibar,Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Miaka 60 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na  Miaka 25 ya kumbukizi ya kifo cha  baba wa taifa .

Bendera ya Taifa na Mwenge wa Uhuru vitapandishwa kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro na Kikosi  maalumu cha Makamanda wa JWTZ kikiongozwa na Luten Kanali Halid Hamis Halid


Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.