• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Serukamba: Makarani ongezeni juhudi kuhesabu watu tumalize kwa wakati.

Posted on: August 25th, 2022

Makarani wa Sensa Mkoani Singida wametakiwa kuongeza juhudi za kuhesabu watu katika Kaya ili kuweza kukamilisha zoezi hilo kwa wakati.

Akiongea na wajumbe wa sensa wa Mkoa huo leo katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkoa huo, Mkuu wa Mkoa Peter Serukamba amezitaja Halmashauri za Itigi na Manyoni kwamba tokea zoezi limeanza tarehe 23 mpaka leo asubuhi ya tarehe 25 bado walikuwa hawajavuka asilimia 30 wakati Wilaya nyingine za Mkoa huo zikiwa zimefikia asilimia  zaidi ya 40.

Aidha RC Serukamba amemuagiza Mratibu wa sensa Mkoa wa Singida Naing'oya Kipuyo kuangalia uwezekano wa kuongeza  timu ya Makarani ndani ya Wilaya ambao tayari wamemaliza kuhesabu Kaya walizopangiwa kutoa msaada kwa wenzao ambao bado hawajamaliza, lengo likiwa ni kuhakikisha zoezi linakamilika kwa wakati.

Hata hivyo amewapongeza Makarani wa Wilaya ya Mkalama, Singida DC na Manispaa ya Singida ambapo ndani ya siku mbili wameweza kufikia asilimia zaidi ya 40.

Hata hivyo amewataka kuongeza juhudi ili ikiwezekana zoezi likamilike kabla ya siku ya mwisho kwa sababu jnawezekana. Alieleza RC Serukamba.

Naye Katibu Tawala Mkoa wa Singida Mwl. Dorothy Mwaluko ameeleza kwamba wametoa vyombo vya usafiri kama pikipiki za Maafisa Tarafa, Maafisa mifugo na kilimo pamoja na magari ili kusaidia zoezi la Sensa katika Halmashauri ya Manyoni na Itigi kwa kuwa jographia yake imetawanyika kwa kiasi kikubwa.

Amesema maeneo mengi ya Halmashauri hizo umbali kutoka nyumba moja kwenda nyingine ni mkubwa ambapo isingekuwa uwepo wa vyombo hivyo zoezi lingekuwa gumu.

Naye Mratibu wa sensa Mkoa wa Singida Naing'oya Kipuyo amesema Serikali imeendelea kutatua changamoto zinazojitokeza katika zoezi la sensa ambapo pamoja na kutoa power benk ambazo zimekabidhiwa kwa Makarani kwa maeneo yenye changamoto za Umeme bado imetoa idhini ya kupatikana kwa huduma ya majenereta ambayo yatawekwa katika mashule ili vishikwambi vitakavyopata changamoto ya kuishiwa chaji viweze kuchajiwa.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.