• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Singida Press Club yakutana na RAS Singida

Posted on: May 31st, 2023

Waandishi wa Habari Mkoani Singida wameshauriwa kutangaza fursa zinazopatikana katika Mkoa huo ikiwemo kilimo ufugaji na utalii ambazo zitasaidia kuongeza uwekezaji na kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.

Ushauri huo umetolewa leo na Katibu Tawala  Mkoa huo Dkt. Fatma Mganga alipokutana na viongozi mbambali  wa chama cha waandishi wa habari mkoani Singida (Singida Press Club) kwa lengo la  kujitambulisha na kujadili namna ya kuboresha ufikishwaji wa taarifa kwa jamii.

Amesema Mkoa wa Singida una vivutio vingi vya kitalii ambavyo vikitangazwa vinaweza kuongeza idadi ya watalii na wananchi kuongeza maslahi kwa wananchi.

Aidha RAS Fatma ameeleza nafasi ya waandishi wa habari Mkoani hapo katika kukuza viwango vya ufaulu kwa kufanya mahojiano baina ya shule zinazofanya vizuri na zinazofanya vibaya hasa katika kipindi hiki ambacho wanafunzi walioripoti shule ni asilimia 87  mkoa mzima.

Hata hivyo amewapongeza kwa namna waandishi hao wanavyoshirikiana na Serikali kupeleka taarifa kwa wananchi huku akiwakumbusha kufuata maadili ya kazi yao ili kuleta tija kwa jamii.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa chama hicho Elisante John amesema chama kinahitaji kufanya kazi kwa karibu na Serikali ili kuweza kuwafikishia habari wananchi huku akieleza kwamba wanajipanga kuadhimisha miaka 20 tangu kuazishwa ifikapo Oktoba, 2023.

Aidha mwenyekiti huyo alimumba Katibu Tawala kuona uwezekano wa kuongeza ushirikiano na chama hicho ambacho kina mpango wa kuanzisha miradi yake hivi karibuni.

Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZAWAFIKIA WAGONJWA ZAIDI YA 3000 SINGIDA.

    May 09, 2025
  • IKUNGI YAPEPERUSHA BENDERA KWA MIRADI YA KIMKAKATI.

    May 08, 2025
  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.