• Wasiliana Nasi |
    • Malalamiko |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Blog |
Singida Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Ikungi
      • HISTORIA
    • Iramba
    • Manyoni
    • Mkalama
    • Singida
  • Halmashauri
    • H/W Ikungi
    • H/W Iramba
    • H/W Itigi
    • H/W Manyoni
    • H/W Mkalama
    • H/W Singida
    • H/M Singida
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda na Biashara
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
      • Madaktari Bingwa
      • Huduma za Tiba
      • Huduma za Kinga
      • Ustawi wa Jamii
      • Afya ya Mazingira
      • Lishe
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Investment Guide
  • Kituo Cha Habari
    • Picha
    • Video
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma

Takukuru watakiwa kuwachunguza wakusanya mapato wilayani Manyoni.

Posted on: July 15th, 2022

Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Singida kuwachunguza wakusanyaji wa mapato Wilayani  Manyoni kwa kuhusika na upotevu wa mapato katika standi ya mabasi Wilayani hapo.

Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo kwenye ukumbi wa mikutano wa RC Mission Itigi alipokutana na Watumishi wa Halmashauri ya Itigi na Manyoni ambapo alibainisha kwamba kuna upotevu mkubwa wa mapato katika stendi ya mabasi kunakotokana na matumizi yasikuwa sahihi ya posi.

Amesema jumla ya mabasi yanayoingia kwenye stendi ya mabasi ni zaidi ya 200 kwa Siku na kila Basi linatozwa Tsh. 2500 lakini bado Halmashauri hiyo imekuwa ikikusanya TSH. Milioni moja na laki Saba (1,700,000) kwa mwezi huku akifafanua kwamba kutokana na uchunguzi uliofanyika hivi karibuni ulibainisha bàadhi fedha kutopelekwa Benki jambo ambalo linazua sintofahamu juu yake.

Waziri Mkuu ameeleza kwamba baada ya Serikali kuona upotevu wa mapato hayo waliweka mtu mwingine ambaye katika kipindi cha wiki mbili alieleza kukusanya kiasi cha Milioni zaidi ya 20 hivyo kumtaka Kamanda wa Takukuru kuchunguza upotevu huo.

Aidha amewataka Maafisa wote ambao wanahusika katika zoezi la ukusanyaji wa mapato kutoa ushirikiano kwa TAKUKURU ili kuhakikisha waliohusika wanapatikana  na fedha zinajulikana zilipokwenda.

Hata hivyo Waziri Mkuu amewataka viongozi wote wa Halmashauri hizo kuhakikisha wanasimamia miradi iliyopo ili iweze kuwanufaisha wananchi.

Mwisho

Wananchi wa Wilaya ya Manyoni wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa wakati aliposimama kusikiliza kero za wananchi hao.


Matangazo

  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2022_2023 SINGIDA RS July 01, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHANGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA - 2023, MKOA WA SINGIDA December 14, 2022
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA KWA KIPINDI CHA KUANZIA JULAI HADI OCTOBA, 2023 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO November 01, 2023
  • GENERAL PROCUREMENT NOTICE FOR YEAR 2021/2022 SINGIDA RS - GPN 2021 - 2022 July 01, 2021
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • DKT.MGANGA ASISITIZA MADAKTARI BINGWA KUTOA HUDUMA BORA

    May 05, 2025
  • WATUMISHI NA WAAJIRI HODARI MKOANI SINGIDA WAPOKEA TUZO

    May 02, 2025
  • KUELEKEA MEIMOSI,RC DENDEGO ATANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI

    April 25, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT.SAMIA WABISHA HODI SINGIDA

    April 23, 2025
  • Angalia Zote

Video

Mkoa wa Singida waja na Mikakati ya Kuboresha Elimu
Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • Fomu ya Maombi ya Kusafiri Nje ya Nchi
  • MPANGO WA MANUNUZI MKOA WA SINGIDA
  • KUONA AJIRA ZA WAALIMU WA SAYANSI NA MAFUNDI SANIFU

Tovuti Muhimu

  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • IKULU
  • WIZARA YA ELIMU
  • NECTA
  • WIZARA YA AFYA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Mkoa

Wasiliana Nasi

    SINGIDA

    Anuani: P O BOX 5 SINGIDA

    Simu: 2502170, 2502089

    Simu: 2502170, 2502089

    Barua Pepe: info@singida.go.tz ras@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Usiri
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2023 Singida Regional Commisioner' Office . All rights reserved.