Posted on: October 28th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi amewatoa hofu wana Singida na watanzania wote kuwa kuelekea kipindi cha mvua barabara kuu zote za kuingia na kutoka Mkoani Singida zinapitika vizuri.
...
Posted on: October 26th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi amewahakikishia wazazi, walezi, wanafunzi na wadau wa elimu Mkoani hapa kuwa Singida haitapata ufaulu mbaya kielimu kama ilivyokuwa mwaka huu kutokana...
Posted on: October 20th, 2017
Halmashauri saba za Mkoa wa Singida zimeagizwa kununua vitanda kumi kwa ajili ya akina mama kujifungulia ili kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufu...