Posted on: April 27th, 2022
Taasisi zote za Serikali mkoani Singida zimepewa masaa 48 kukamilisha uwekaji wa anwani za Makazi katika maeneo yao kama sehemu mfano lengo likiwa ni kuharakishwa ufanikishaji wa zoezi hilo.
Kauli ...
Posted on: April 26th, 2022
Wafanyabiashara wa vitunguu mkoani Singida leo wamepigwa marufuku kutumia matumizi ya vifungashio ambavyo havijathibitishwa na Serikali na ambavyo vinazidi kilo mia kwa kuwa vinawapunja wakulima...
Posted on: April 26th, 2022
Vijana mkoani Singida wametakiwa kujiamini, kuonesha na kuvitumia vipaji walivyonavyo katika kuleta ubunifu na ugunduzi wa mambo kwa kuwa wengi wana vipaji lakini hawajavitambua.
Akiongea kat...