Posted on: August 19th, 2019
Serikali ya mkoa wa Singida inayoongozwa na mkuu wa Mkoa huo Dkt. Rehema Nchimbi, kwa kushirikiana na wananchi wa Singida, mapema leo 19/08/2019 wameupokewa Mwenge wa Uhuru ukitokea mkoani Dodoma.
...
Posted on: June 13th, 2019
MKUU wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi amezipongeza Halmashauri zote za mkoa wa Singida kwa kupata hati safi, kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Dkt. Nch...
Posted on: May 29th, 2019
Serikali mkoani Singida, imewataka wananchi kuwa na utaratibu wa kupima afya zao mara kwa mara ili kubaini magonjwa ambayo yanachukua muda mrefu kujitokeza, na kuacha tabia ya mtu kusubili hadi afya i...