Posted on: February 15th, 2023
Watendaji na Maafisa Elimu Kata wametakiwa kuwa wabunifu na kuimarisha usimamizi katika miradi ya Serikali inayotekelezwa katika maeneo yao ili kuharakisha maendeleo kwa wananchi.
Maelezo hayo yame...
Posted on: February 14th, 2023
Programu ya Shule Bora imewakutanisha Maafisa elimu Sekondari na Msingi ngazi za Wilaya ili kujadili mipango na mikakati ya Utekelezaji wa programu hiyo baada ya kukamilisha mwaka mmoja.
Akifungua ...
Posted on: February 7th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba amewataka Wakuu wa Wilaya waliotambulishwa Mkoani hapo leo kwenda kutatua matatizo na changamoto zinazowakabili wananchi katika maeneo yao ikiwemo migogoro ya a...