Posted on: September 17th, 2021
MKUU wa Mkoa Singida Dkt.Binilith Mahenge amewaomba viongozi mbalimbali mkoani hapa kuendelea kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kwenda kushiriki zoezi la majaribio la Sensa ya Watu na Makazi.
...
Posted on: September 17th, 2021
WASHAURI wa mambo ya fedha leo wamekutana katika ukumbi wa ofisi za ukaguzi wa hesabu za serikali (NAO) Mkoani Singida kujadili namna ya kutatua changamoto zinazosababisha upatikanaji wa hati chafu au...
Posted on: September 11th, 2021
MKUU wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge amewatembelea wananchi waliolazwa katika Hospitali ya Mkoa huo baada kula chakula kinachosadikika kuwa na sumu ambapo katika tukio mtoto mmoja mwenye umri...