Posted on: June 4th, 2022
Vyuo vya Kati vya binafsi vilivyopo Mkoa wa Singida vimetakiwa kufuata taratibu Kanuni na Sheria walizopewa wakati wa usajili ili kuondoa migogoro inayojitokeza baina yao na Watumishi ili kutoa huduma...
Posted on: June 3rd, 2022
Kikundi cha watu wanaojiita waganga wa Kienyeji ambacho kimekuwa kikizunguka Kata mbalimbali za Wilaya ya Mkalama ikiwemo Kata ya Ilunda huku wakiwachangisha wananchi fedha kiasi cha Shilingi 15,000 k...
Posted on: June 1st, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge leo ametembelea eneo linalojengwa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu lililopo Mtipa katika Wilaya ya Singida ili kuona eneo hilo na kusikiliza mipango ya ...