Posted on: August 1st, 2024
Serikali imewataka Wakulima, Wafugaji na Wavuvi nchini kuongeza maradufu uzalishaji wa mazao na bidhaa mbalimbali katika sekta hizo kwa sababu soko la uhakika la mazao hayo lipo ndani na nje ya nchi.
...
Posted on: July 30th, 2024
Halmashauri Saba za Mkoa wa Singida zimevuka lengo la ukusanyaji wa mapato ya ndani kutoka asilimia 90 kwa miaka ya nyuma hadi kufikia asilimia 101 kwa kukusanya Bilioni 21.32 kwa mwaka wa fedha wa 20...
Posted on: July 28th, 2024
Makamu wa Rais Dk. Philip Isdor Mpango, amesema Serikali inatambua na kuthamini mchango wa taasisi za dini katika kudumisha hali ya amani na utulivu likiwemo dhehebu la dini la Kanisa la Anglica...