Posted on: October 6th, 2021
Takwimu za wananchi wanaopata chanjo ya Uviko19 mkoani Singida zimeendelea kuongezeka kwa kasi kufuatia jitihada za utolewaji wa elimu na ushawishi kwa jamii kwa njia ya nyumba kwa nyumba.
Ak...
Posted on: October 5th, 2021
Wakulima Mkoani Singida wametakiwa kujiandaa na msimu wa kilimo wa mwaka 2021/22 unaoanza hivi karibuni kwa kukutanishwa na Wadau wa pembejeo za kilimo.
Beatusi Choaji, Katibu Tawala Msaidizi uchum...
Posted on: October 5th, 2021
Wananchi wa Mkoa wa Singida wameshauriwa kufanya mazoezi na kuendeleza kula mlo kamili ili kuepuka magonjwa yasiyo ya kuambukiza na kuimarisha afya ya akili na mwili.
Akizungumza baada ya kukutana ...