Posted on: November 23rd, 2022
Wakandarasi waliofanikiwa kupata tenda ya Ujenzi wa barabara Mkoani Singida wametakiwa kufanya kazi kwa weledi na kukamilisha kazi kwa wakati kama walivyokubaliana katika mikataba yao ya kazi.
Kaul...
Posted on: November 22nd, 2022
Halmashauri za Mkoa wa Singida zimetakiwa kutenga fedha katika mipango na bajeti zake kwa ajili ya gharama za usafiri wa dharura kwa Mama wajawazito na watoto wachanga.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu...
Posted on: November 18th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba amewataka viongozi mbalimbali walioshiriki mafunzo ya itifaki ya viongozi wa Kitaifa na usimamizi wa maadhimisho ya sherehe na matukio yanayohusu viongozi...