Posted on: April 27th, 2023
Walimu wa shule za msingi na sekondari mkoani Singida wametakiwa kupeleka taarifa mkoani kila mwezi kuhusu hali ya utoro na mdondoko wa wanafunzi ili hatua madhubuti zichukuliwe kwa wazazi ikiwa ni ha...
Posted on: April 26th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba amewapongeza wananchi wa Mkoa huo kwa kujitokeza kufanya kazi za mikono katika Ujenzi wa shule ya msingi Minga iliyopo Manispaa ya Singida ambapo wameweza kuchi...
Posted on: April 25th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba tarehe 25/04/02023 amewaagiza Wakala wa Barabara TANROAD kupanda miti, kuweka vizuizi katika mifereji inayozunguka daraja hilo la chini ili kusaidia kutunza Ma...