Posted on: December 3rd, 2021
Wananchi mkoani Singida wametakiwa kutumia vizuri chakula walichonacho na kulima mazao ya muda mfupi yanayohitaji mvua kidogo yakiwemo alizeti, mtama, dengu na mkonge kwa kuwa utabiri wa hali ya hewa ...
Posted on: December 2nd, 2021
Mkoa wa Singida umepokea mbegu za mkonge miche 20,000 itakayogawiwa kwa wakulima wa wilaya ya Singida Vijijini ikiwa ni mpango wa kuongeza chanzo cha mapato kwa mkoa huo na wananchi kwa ujumla.
...
Posted on: December 2nd, 2021
Uwepo wa mitandao ya barabara kuu na za viunganishi mkoani Singida zimeongeza chachu ya maendeleo kwa wananchi na kukuza uchumi wa mtu mmoja moja kutokana na biashara zinazofanyika baina ya wilaya na ...