Posted on: August 24th, 2017
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo amezihimiza mamlaka za maji na mabondeya maji kubuni vyanzo vipya vya mapato vitakavyosaidia kujiendesha vyenyewe bila kutegemea serikali kuu.
...
Posted on: August 21st, 2017
Wanasiasa hasa wasomi na wale wenye ushawishi mkubwa wametakiwa kuacha kulalamika na kutoa kauli ambazo hazitawasaidia wananchi katika kuwatatulia matatizo na kero zao bali waungane na serikali...
Posted on: August 15th, 2017
Wakulima wa zao la alizeti Mkoani Singida wamepata uhakika wa mbegu bora ya alizeti ambayo itawasaidia kuzalisha kibiashara tofauti na hapo awali walipokuwa wakipata mbegu zisiso na uhakika wa ...