Posted on: August 6th, 2022
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewaagiza Wakuu wa Wilaya kuhakikisha wanasimamia Watumishi wote katika Halmashauri za Mkoa wa Singida ambao walikusanya fedha za mapato lakini hawakuzipeleka benki wana...
Posted on: August 5th, 2022
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa leo ameweka jiwe la msingi katika Kituo cha Afya cha Iglansoni kilichopo Kata ya Iglansoni Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida...
Posted on: August 4th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba leo ameziagiza Halmashauri zote za Mkoa huo kuhakikisha kwamba kila Mwananchi Mkoani hapo anakuwa na kadi ya afya kama hatua mojawapo ya kuboresha za Wana...